Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akimkabidhi Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Taarifa za Kamati Maalum
ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi katika tukio
lililofanyika leo katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akikabidhiwa Taarifa ya Kamati Maalum ya Kuchunguza Biashara
ya Almasi na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Mussa Azzan Zungu (kulia)
katika tukio lililofanyika leo katika Viwanja vya Bunge Mjini
Dodoma.kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na Kulia ni Kiongozi
wa Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe
Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya
kuchunguza Almasi, Mhe. Mussa Azzan Zungu akizungumza wakati wa
uwasilishaji wa Taarifa za Kamati Maalum ya Kuchunguza Biashara ya
Tanzanite na Almasi katika tukio lililofanyika leo katika Viwanja vya
Bunge Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya
kuchunguza Tanzanite, Mhe. Dotto Biteko akizungumza wakati wa
uwasilishaji wa Taarifa za Kamati Maalum ya Kuchunguza Biashara ya
Tanzanite na Almasi katika tukio lililofanyika leo katika Viwanja vya
Bunge Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akizungumza wakati wa uwasilishaji wa Taarifa za Kamati Maalum ya
Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi katika tukio lililofanyika
leo katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.
Tulia Ackson akizungumza wakati wa uwasilishaji wa Taarifa za Kamati
Maalum ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi katika tukio
lililofanyika leo katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
0 comments:
Post a Comment