Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na mtoto Nathan Martin
wakati akitoka kumjulia hali Meja jenerali Mstaafu Vicent Mritaba
aliyelazwa Hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es salaam alikolazwa
akitibiwa majeraha baada ya kushambuliwa kwa risasi mkononi, tumboni na
kiunoni wakati anaingia nyumbani kwake Ununio wilaya ya Kinondoni
jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
Jenerali Venance Mabeyo baada ya kumjulia hali Meja Jenerali Mstaafu
Vicent Mritaba aliyelazwa Hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es salaam
alikolazwa akitibiwa majeraha baada ya kushambuliwa kwa risasi mkononi,
tumboni na mguuni wakati anaingia nyumbani kwake Ununio wilaya ya
Kinondoni jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwalimu Aloys Konolipa
wa Shule ya Msingi Kidugalo wilayani Kisarawe Mkoa wa Pwani alipopita
kuwapa pole wagonjwa wengine baada ya kumjulia hali Meja Jenerali
Mstaafu Vicent Mritaba aliyelazwa Hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar
es salaam alikolazwa akitibiwa majeraha baada ya kushambuliwa kwa risasi
mkononi, tumboni na kiunoni wakati akiingia nyumbani kwake Ununio
wilaya ya Kinondoni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) na Brigedia Jenerali Dkt. Paul Massawe
Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba akielezea alivyoshambuliwa kwa
risasi mkononi, tumboni na mguuni wakati akiingia nyumbani kwake
Ununio wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) na Brigedia
Jenerali Dkt. Paul Massawe, Brigedia Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba na
wauguzi wakiomba dua wakiongozwa na Mama Margareth Vicent Mritaba
katika hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es salaam alikolazwa Meja
Jenerali Mritaba akitibiwa majeraha baada ya kushambuliwa kwa risasi
mkononi, tumboni na kiunoni wakati anaingia nyumbani kwake Ununio
wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) na Brigedia
Jenerali Dkt. Paul Massawe wakiangalia majeraha aliyopata Meja Jenerali
Mstaafu Vicent Mritaba baada ya kushambuliwa kwa risasi mkononi, tumboni
na kiunoni wakati anaingia nyumbani kwake Ununio wilaya ya Kinondoni
jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment