Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Fedha na
Mipango Mhe. Philip Mpango wakati akiwasili kwenye uzinduzi wa Programu
ya Maboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma Awamu ya Tano 2017/18 –
2021/22 katika Ukumbi wa Hazina mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Programu ya Maboresho ya
Usimamizi wa Fedha za Umma Awamu ya Tano 2017/18 – 2021/22 kulia ni
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Philip Mpango ambapo pia ilishuhudiwa na
Spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai,
Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zubeir Ali Maulid, Naibu Waziri Ofisi
ya Rais,TAMISEMI Mhe. Selemani Jaffo, Naibu Waziri Fedha na Mipango
Dkt. Ashatu Kijaji na Wadau wa Maendeleo kwenye Ukumbi wa Hazina mjini
Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati uzinduzi wa Programu
ya Maboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma Awamu ya Tano 2017/18 –
2021/22 katika Ukumbi wa Hazina mjini Dodoma
Sehemu ya Waliohudhuria wakipiga
makofi mara baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia
Suluhu Hassan kuzindua Programu ya Maboresho ya Usimamizi wa Fedha za
Umma Awamu ya Tano 2017/18 – 2021/22 katika Ukumbi wa Hazina mjini
Dodoma.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
0 comments:
Post a Comment