Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa
Rais, Mh. Luhaga Mpina akiongea wakati wa ziara ya Kamati ya Ardhi na
Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi kutoka Zanzibar, iliyomtembelea
Ofisini kwake jijini Dar Es Salaam wa kwanza kulia nia Mwenyekiti wa
Kamati hiyo Mh. Hamza Hassan Juma na wa kwanza kushoto ni Makamu
Mwenyekiti wa Kamati.
Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya
Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi kutoka Zanzibar
wakimsilikiza Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Luhaga
Mpina(hayupo pichani) wakati wa ziara yao Ofisini kwa Waziri huyo.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa
Rais, Mh. Luhaga Mpina akisiliza kwa makini hoja zilizokua zikitolewa na
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mh. Hamza Hassan Juma(kulia) wakati wa ziara
hiyo.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa
Rais, Mh. Luhaga Mpina akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati
ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi kutoka Zanzibar,
iliyomtembelea Ofisini kwake jijini Dar Es Salaam
0 comments:
Post a Comment