Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani
Kikwete leo amegawa vifaa vya michezo kwa timu za jimbo la Chalinze
zinazoshiriki mashindano ya kombe la Mazingira linaloshirikisha timu za
wilaya ya Bagamoyo. Hapa picha mbalimbali zikionyesha Mbunge huyo
akigawa vifaa vya michezo kwa viongozi mbalimbali wa vilabu vya mpira
katika jimbo hilo.
Saturday, August 12, 2017
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya kilim...
-
Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Njombe ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Njombe Mhe. Ruth Msafiri akizungumza na wananchi wa Makambako alipokuwa...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakati akikagua kazi ...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment