Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi
Tanzania (Tucta) wamemuomba Rais John Magufuli kuangalia upya watumishi
waliokutwa na vyeti feki ambao wamebakisha mwaka mmoja kustaafu waweze kulipwa
mafao yao.
Itakumbukwa hivi karibuni, Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah
Kairuki, alikaririwa na vyombo vya habari akisema kuwa hakuna mafao kwa waliobainika
kutumia vyeti feki.
0 comments:
Post a Comment