Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mhe Rukia Muwango akiwa pamoja na Mwenyekiti wa wakuu wa shule kanda ya kusini (TAHOSA )
na Muwakilishi wa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea katika Mapokezi ya Scout ndani
ya Hoteli ya Singapore tarehe 30/07/2017.
Vijana wa Scout katika Wilaya ya Nachingwea wakiwa pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mhe Rukia Muwangokatika Hoteli ya Singapore
Vijana wa Scout katika Wilaya ya Nachingwea wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mhe Rukia Muwangokatika Hoteli ya Singapore
Vijana wa Scout katika Wilaya ya Nachingwea wakiwa pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mhe Rukia Muwangokatika Hoteli ya Singapore
Vijana wa Scout katika Wilaya ya Nachingwea wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mapokezi kwao yaliyofanywa na Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mhe Rukia Muwango katika Hoteli ya Singapore.
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi Mhe Rukia Muwango amempongeza kamishna wa Scout Wilaya kwa kazi kubwa ya mafunzo bora aliytoyatoa kwa vijana wa Scout katika Wilaya ya Nachingwea.
Pongezi hizo kwa Kamishna wa Scout Wilaya na Kamishna Msaidizi kwa kuwapa mafunzo bora vijana wa Scout
kutoka Shule za Wilaya ya Nachingwea na kufanikiwa Kuwakilisha vyema Mkoa wa
Lindi hatimaye kufanikiwa kurudi na kikombe na Tuzo.
Monday, July 31, 2017
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda Kizza Besigye amekamatwa tena na maafisa wa polisi. ...
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Na Debora Charles (Mtakwimu) Sensa ya watu na makazi ni utaratibu wa kukusanya, kuchambua, kutathimini na kuchapisha na kusamba...
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya...
-
Mbunge Jimbo la Nyamagana Mhe Stanislaus Mabula kabla na baada ya ziara zake za mrejesho wa Bunge la bajeti kwa wananchi kila Kata, sasa ame...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment