Kaimu Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Ndg. Daniel Zenda (pichani) akipata maelezo juu mfumo wa udahili wa wanafunzi (System Based on Admission of New Students) katika banda la Tume ya vyuo vikuu (TCU).
Hiyo ni katika kutimiza Agizo la Rais Magufuli la kuhakikisha Wanafunzi wanachagua Vyuo wanavyohitaji na kupata Masomo linalotokana na Maoni ya walio wengi kama wadau wa Elimu.
Pamoja na kuwataka wanafunzi kujitokeza kwa wakati na kuomba vyuo kabla Muda kumalizika.
kaimu katibu idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu alitembelea banda la BODI YA MIKOPO na kuulizia namna walivyojipanga na kupokea Utaratibu uliopo sasa. Tunapaswa kuboresha mifumo tulio jiwekea ili wanatanzania ambao wengiwao ni maskini na wasio na Uwezo wanufaike alisema Zenda.
0 comments:
Post a Comment