Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla pamoja na Mke wake wakiwasili katika Hotel ya Hyatty Kilimanjaro alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) jioni ya Juni 16.2017 Jijini Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla akisalimiana na Mkuu wa Idara ya Huduma Binafsi wa Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania), Bw. Julius Ngonyani alipowasili katika Hotel ya Hyatty Regency, Kilimanjaro alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki hiyo Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) jioni ya Juni 16.2017 Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa CBA Tanzania, Gift Shoko.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) iliyofanyika katika Hotel ya Hyatty Regency, Kilimanjaro jioni ya Juni 16.2017 Jijini Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla pamoja na Mke wake wakipata huduma ya chakula alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) jioni ya Juni 16.2017 Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kamal Steel, Bw. Gupta (kushoto) walipokutana katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) iliyofanyika katika Hotel ya Hyatty Regency, Kilimanjaro jioni ya Juni 16.2017 Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa CBA Tanzania, Gift Shoko.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla akiteta jambo na mmoja wa wadau wa Benki ya Biashara Afrika (CBA) wakati wa hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki hiyo Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) iliyofanyika katika Hotel ya Hyatty Regency, Kilimanjaro jioni ya Juni 16.2017 Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya menejimenti ya Benki ya CBA mara baada ya kumaliza hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya hiyo jioni ya Juni 16.2017Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa CBA Tanzania, Gift Shoko.
0 comments:
Post a Comment