Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe.
Masima akijitambulisha kwa Rais wa taifa hilo Mhe. Reuven Rivlin kabla
ya kuwasilisha hati zake za utambulisho

Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe.
Masima akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Taifa la Israel Mhe.
Reuven Rivlin Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem

Akiwa amevaa baragashia ya kitamaduni ya
Kiyahudi maarufu kama “Kippah” Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe.
Job Masima akiwasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na kusoma salamu maalumu za
mwanzo wa urafiki mpya wa ushirikiano wa karibu kwa ki-Hebrew baada ya
kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Taifa la Israel Mhe. Reuven
Rivlin Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem.

Job Masima akikaribishwa rasmi baada ya kuwasilisha salamu za Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na
kusoma salamu maalumu za mwanzo wa urafiki mpya wa ushirikiano wa karibu
kwa ki-Hebrew baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa
Taifa la Israel Mhe. Reuven Rivlin Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem.

Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe.
Job Masima akikaribishwa rasmi kwa toast baada ya kuwasilisha salamu za
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja
na kusoma salamu maalumu za mwanzo wa urafiki mpya wa ushirikiano wa
karibu kwa ki-Hebrew baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais
wa Taifa la Israel Mhe. Reuven Rivlin Ikulu ya nchi hiyo mjini
Jerusalem.

Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe.
Job Masima akiwa katika mazungumzo na Rais wa Taifa la Israel Mhe.
Reuven Rivlin Ikulu ya nchi hiyo mjini Jerusalem.
0 comments:
Post a Comment