Saturday, May 13, 2017
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda Kizza Besigye amekamatwa tena na maafisa wa polisi. ...
-
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Laigwnani Metui Ole Shaudo mapendekezo ya Wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro kuhusu namna bor...
-
Mkuu wa Wilaya ya Busega, Mhe. Anna Joram Gidarya, amewataka wananchi wa Wilaya ya Busega kutoa maoni kwa uhuru kuhusu ombi la k...
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Na Carlos Claudio, Dodoma. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anamringi Macha, ametoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh...
Powered by Blogger.
Treni ya abiria iliyokuwa ikitokea jijini Dar es salaam kwenda Mikoa ya Tabora, Mwanza na Kigoma, imepata ajali usiku wa kuamkia leo katika eneo la stesheni ya Mazimbu Mkoani Morogoro. Kwa mujimu wa Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Reli Tanzani, Midladjy Maez amesema ajali hiyo imetokea majira ya saa tano usiku baada ya Mabehewa matatu kuacha njia na mengine manne kuegama na kusababisha abiria mmoja alietambulika kwa jina la Ashura Mrisho aliyekuwa akitokea Ngerengere kwenda Tabora kujeruhiwa na baada ya kuangukiwa na mizigo.
Mabehewa 13 yamerejeshwa Morogoro ili kufanyika utaratibu wa kuwapangia usafiri mbadala abiria wa treni hiyo. Taarifa zaidi zitafuata wakati Uongozi wa TRL, Wahandisi na Mafundi wa reli wakishughulikia ajali hiyo.
0 comments:
Post a Comment