Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akijumuika na waumini wengine katika misa ya Njia ya Msalaba
katika Kanisa Kuu la Katoliki la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma
jana Ijumaa Machi 10, 2017
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akitakiana amani na watawa wakati wa misa ya Njia ya Msalaba
katika Kanisa Kuu la Katoliki la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma
jana Ijumaa Machi 10, 2017
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akijumuika na waumini wengine kupokea Ekaristi Takatifu wakati
wa misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa
Msalaba mjini Dodoma jana Ijumaa Machi 10, 2017

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na waumini baada ya
misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba
mjini Dodoma jana Ijumaa Machi 10, 2017
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment