Inaonyesha
kila kinachoendelea huwa kinamfikia Rais Magufuli ambapo leo kwenye
hotuba yake IKULU Dar es salaam ameongea kuhusu wale Mashabiki wa Yanga
walioonekana kulifutafuta vumbi gari la Mfanyabiashara Yusuph Manji
baada ya kuingia kuhojiwa Polisi kwenye sakata la dawa za kulevya.
Pamoja
na hilo, rais pia ameongelea ishu ya Wanakwaya wa Askofu Gwajima
kwenda na kusimama nje ya kituo cha kati cha Polisi baada ya Askofu huyo
kuingia kuhojiwa na Polisi kwenye sakata la dawa za kulevya.
0 comments:
Post a Comment