METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, January 25, 2017

Tamasha la Sauti za Busara 2017 kurindima Februari9-12, Wasanii 400 wa Afrika jukwaani Zanzibar


Baadhi ya wasanii watakaotumbuiza katika tamasha hilo hiyo Februari mwaka huu
Pia wapo Jessica Mbangeni (South Africa), Sahra Halgan Trio (Somaliland), Tausi Women’s Taarab (Zanzibar), CAC Fusion (Tanzania), Ze Spirits Band (Tanzania), Loryzine (Reunion), Madalitso Band (Malawi), Mswanu Gogo Vibes (Tanzania), G Clef Taarab Orchestra (Zanzibar), Afrijam Band (Tanzania) Wengine ni Cocodo African Music Band (Tanzania), Kiumbizi (Pemba / Zanzibar), Rico and the Band (Zanzibar), Usambara Sanaa Group (Tanzania), Mcharuko Band (Zanzibar) na Taarab – Kidumbak Group na wengine wengi. Tazama MO tv kuona tukio hapa:
Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mh. Hanne Marie Kaarstad akizungumza katika tukio hilo

Wanahabari wakifuatilia tukio wakati wa mkutano huo wa Sauti za Busara mapema leo 24 Januari 2017

Mwenyekiti wa Bodi ya Tamasha la Sauti za Busara, Mh. Simai Mohamed Said akijibu baadhi ya maswali wakati wa mkutano huo. kulia ni Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mh. Hanne Marie Kaarstad

Baadhi ya waandishi wa Habari wakiuliza maswali katika mkutano huo

Mkurugenzi wa Mtandao wa Fullshangweblog, Bw. John Bukuku akiuliza swali katika mkutano huo, kulia kwake ni Salome George aliyekuwa akisimamia zoezi hilo kwa waandishi wa Habari

Mkutano huo ukiendelea

Mwenyekiti wa Bodi ya Tamasha la Sauti za Busara, Mh. Simai Mohamed Said akizungumza katika mkutano huo na wanahabari Jijini Dar es Salaam (hawapo pichani). Anayemfuatia ni Mkurugenzi wa tamsha hilo Dj Yusuf Mahmoud na mwisho ni Meneja wa tamasha, Journey Ramadhan. Kulia ni Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mh. Hanne Marie Kaarstad. (Habari, Picha na Andrew Chale)
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com