Thursday, December 8, 2016
Miaka mingi sasa imepita tangu Marekani
iombe kipande cha ardhi kwa ajiri ya wanajeshi na sasa miaka 20 imepita
tangu wachukue, Japan sasa wanataka ardhi yao, Marekani inataraji
kurejesha kipande cha ardhi cha Okinawa kwa Japan kinachosemekana
kuchukuliwa na nchi hiyo miaka ishirini iliyopita.
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda Kizza Besigye amekamatwa tena na maafisa wa polisi. ...
-
Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) imeongeza jitihada katika kudhibiti uvamizi wa visumbufu hatarishi, ikiwemo kwelea...
-
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe Miraji Jumanne Mtaturu anawataarifu wakazi wa Wilaya hiyo kuwa Mwenge wa Uhuru unataraji kuwasil...
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzani...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment