Tume Ya
Taifa Ya Uchaguzi (Nec) inaendelea kutekeleza mkakati Wa Kutoa Elimu Ya
Mpiga Kura Kwa Wananchi Ili Kuimarisha Demokrasia Nchini.
Mwenyekiti
Wa Tume Hiyo Jaji Mstaafu Damian Lubuva Anatoa Wito Kwa Wananchi
Kuendelean Kutoa Ushirikiano Wao Kwa Nec Ili Kufanikisha Mkakati Huo.
Kwa
Upande Wake Mkurugenzi Wa Uchaguzi Wa Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Bw.
Kailima Ramadhani Anatoa Wito Kwa Wananchi Ili Kuhakikisha Elimu Ya
Mpiga Kura Inamfikia Mlengwa.
0 comments:
Post a Comment