METDO Tanzania

METDO Tanzania

Saturday, October 8, 2016

Tafadhali Usininukuu; " Sikuwahi Hata Siku Moja Kufikiri...



Ndugu zangu,
Sikuwahi hata siku moja kufikiri kuwa Donald Trump angefaa kuwa Kiongozi wa Marekani na Dunia. Kwa ushahidi wa kauli za kutoka kinywani mwake. Kauli za udhalilishaji wa kijinsia, basi, ni uthibitisho, kuwa hakika sikukosea. Tuko wengi. - Maggid Mjengwa.
Soma hapa sehemu ya kauli zake za kusikitisha...
"And when you're a star they let you do it. You can do anything. Grab them by the pussy."- Donald Trump, 2005.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com