Baadhi ya wabunge wabunge la Tanzania wakiwa wanacheza muziki na msanii Ben Pol kwenyeTamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Jamhuri Dodoma usiku wa kuamkia juzi.
Belle9 akiwapagawisha maelfu ya mashabiki wa muziki waliojitokeza katika viwanja vya jamhuri katika tamasha la Tigo Fiesta
Jux na Benpol wakiimba wimbo wa pamoja wa NAKUCHANA katika jukwaa la Tigo Fiesta katika viwanja vya Jamhuri mwishoni wa wiki hii.
Wasanii Bushoke na Maua Sama wakifanya shoo ya pamoja kwenye tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia juzi uwanja wa Jamhuri Dodoma
Christian
Bella akitumbuiza mashabiki wa burudani waliohudhuria Tamasha la Tigo
Fiesta mapema mwishoni wa wiki hii mkoani Dodoma.
Maua Sama
na Nandi wakiimba kwa pamoja katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa
kuamkia juzi katika viwanja vya Jamuhuri Mkoani Dodoma
Vanessa na Mcheza shoo wake wakiburudisha maelfu ya wakazi w.a Dodoma waliofika viwanja vya Jamhuri kwenye Tamasha la Tigo Fiesta
Wabunge wakilisakata Rhumba wakiongozwa na Msanii Benpol
Joh Makini na Niki wa Pilli toka Weusi wakilivamia jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia juzi katika Tamasha la Tigo Fiesta
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Tulia Ackson , akifuatilia kwa makini burudani inayotolewa na wasaniii waliopamba jukwaa la Tigo Fiesta akiwa pamoja na Waziri Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira January Yusuph Makamba ) usiku wa kuamkia juzi
0 comments:
Post a Comment