Mkuu wa
Mkoa wa Mwanza, John Mongella (kushoto), akitoa zawadi kwa washindi wa
Rock City Marathon zilizofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini
Mwanza jana na kudhamini na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF).
Mkuu wa
Wilaya ya Ilemela Dk. Leonard Masale (kushoto), akiwa pamoja na baadhi
ya waandaji na washiriki wa mbio za Rock City Marathon katika viwanja
vya CCM jijini Mwanza.
Mkuu
wa Mkoa wa Mwanza John Mongella (katikati) akiwa na mwanariadha wa
zamani, Juma Ikangaa (kulia), na washiriki wengine wa mbio za Rock City
Marathon zilizofanyika jijini Mwanza juzi na kudhaminiwa na Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF).
Meneja
Matekelezo wa NSSF, James Oigo (katikati) mara baada ya kushiriki mbio
za mbio za Rocky City Marathon jijini Mwanza na kudhaminiwa na NSSF.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella (kulia) akiwa na Meneja Matekelezo wa NSSF, James Oigo (katikati) na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi muda mfupi kabla ya kuanza kushiriki mbio za Rocky City Marathon zilizodhaminiwa na NSSF.
0 comments:
Post a Comment