Mkuu wa
Mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadiki akimweleza jambo Mkurugenzi wa
kampuni ya Tigo kanda ya Kaskazini,George Lugata wakati wa hafla ya
kukabidhi madawati iliyofanyika katika shule ya msingi Mandela mjini
Moshi.

Mkuu wa
Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Meck Sadiki akiwa ameketi katika Dawati na
Mkurugenzi wa Kampuni ya Tigo Kanda ya Kaskazini ,George Lugata
,katikati ni mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi Mandela
,Amina Ally ambayo imepata msaada wa Madawati kutoka kampuni ya
Mawasiliano ya simu za mkononi ya Tigo.

Mkuu wa
Mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadiki (katikati) akiwa ameketi pamoja na
Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Mandela,Peggy Staki (kulia) pamoja na
Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Mrumeni Peter Njau ambao shule zao
zimepewa msaada wa Madawati 135.

Mkuu wa
Mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Saidiki akikabidhi Madawati kwa walimu
wakuu,Peggy Staki wa shule ya msingi Mandela (kulia) na Peter Njau wa
shule ya msingi Mrumeni wakati wa hafla ya kukabidhiwa msaada huo
iliyofanyika katika shule ya msingi Mandela mjini Moshi. (P.T)

Baadhi ya
Wananfunzi katika shule ya Msingi Mandela wakiwa wamekaa kwenye
Madawati yaliyotolewa na kampuni ya Tigo ikiwa ni kuiikia wito wa rais
John Magufuli katika kutekleza sera ya elimu bure.

Baadhi ya wageni waliofika katika hafla hiyo.

Mkuu wa
wilaya ya Moshi,Kippi Warioba (katikati) akiwa pamoja na Mkurugenzi wa
kampunu ya Mawasiliano ya Tigo kanda ya Kaskazini George Lugata (kulia)
na Meneja wa Tigo kanda ya kaskazini ,Henry Kinabo (kushoto).

Mkuu wa
wilaya ya Moshi,Kipi Warioba akitoa neno la shukrani mara baada ya
kupokea msaada wa Madawati 135 kutoka kampuni ya Mawasiliano ya simu za
mkononi yaliyotolewa kwa ajili ya shule za msingi za Mandela iliyopo
mjini Moshi pamoja na Mrumeni iliyopo wilaya ya Moshi vijijini.

Baadhi ya
wananfunzi katika shule ya msingi Mandela wakiwa wameketi katika
Madawati mapya yaliyotolea na kampuni ya Mawasiliano ya Tigo.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadiki akiteta jambo na Mkurugenzi wa kampuni ya Tigo,kanda ya kaskazini ,George Lugata.

Sehemu ya Madawati yaliyotolewa na kampuni ya Tigo.

Majengo ya shule ya Msingi Mandela.

Wanafunzi
wa darasa la tano katika shule ya msingi Mandela mjini Moshi wakiimba
nyimbo za pongezi mara bada ya kupata msaada wa Madawati kutoka kampuni
ya Tigo.

Meza kuu wakifurahia burudani ya nyimbo kutoka kwa wanafunzi wa shule ya Mandela mjini Mosi(hawako pichani). Picha na Dixon Busagaga.
0 comments:
Post a Comment