Kaimu
Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji TIC Bw. Cliford Tandari akisikiliza na
kuandika maelezo ya Pastory Mroso Meneja Mkuu wa Mlimani City Group
wakati alipotembelea mradi mpya wa ujenzi wa kumbi mpya za mikutano na
kujionea maendejana ya ujenzi huo, Mkurugenzi huyo amefanya ziara hiyo
ili kuona maendejana na shughuli za uwekezaji wa kampuni hiyo nchini
hapa nchini ili kutambua changamoto na mafanikio yaliyopo katika
uwekezaji wa kampuni hiyo hapa nchini, waliosimama nyima kutoka kushoto
ni Pendo Gondwe Meneja Uhusiano wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania TIC ,
Phina Lyimo Meneja Uhamasishaji na Uwekezaji TIC na Veronica Mrema Afisa
Uhamasishaji na Uwekezaji TIC.
Kamimu
Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji TIC Bw. Cliford Tandari akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya maofisa wa kituo hicho kutoka kulia ni
Phina Lyimo Meneja Uhamasishaji na Uwekezaji TIC na Veronica Mrema Afisa
Uhamasishaji na Uwekezaji TIC na Pendo Gondwe Meneja Uhusiano wa Kituo
cha Uwekezaji Tanzania TIC wakati Kaimu Mkurugenzi huyo alipotembelea
ujenzi wa kumbi mpya za Mlimani City.
Kamimu
Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji TIC Bw. Cliford Tandari akiteta jambo
na Pendo Gondwe Meneja Uhusiano wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania TIC jana
alipotembelea na kukagua ujenzi kumbi mpya za Mlimani City.Kamimu
Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji TIC Bw. Cliford Tandari
Kamimu
Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji TIC Bw. Cliford Tandari akionyeshwa
picha ya kumbi mpya za Mlimani City zinazoendelea kujengwa hazipo
pichani na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Mlimani City Group Pastory Mroso
wakati alipotembelea mradi huo ili kuona maendejana ya uwekezaji wa
kampuni hiyo nchini.
Meneja
Bidhaa Mwandamizi wa Kampuni ya Super Doll .inayotengeneza matela ya
maroli iliyo chini ya kampuni mama ya Super Star Group Bw. Ibrahim Juma
akiwaelezea wahariri wa vyombo vya habari na waandishi wakati
walipoitembelea kampuni hiyo ili kujionea shughuli mbalimbali
zinazofanywa na kampuni hiyo ili kuona tija na changamoto za uwekezaji
wa kampuni hiyo hapa nchini, Ziara hiyo iliandaliwa na Kituo cha
Uwekezaji Tanzania TIC.
Meneja Bidhaa Mwandamizi wa Kampuni ya Super Doll .inayotengeneza matela ya maroli iliyo chini ya kampuni mama ya Super Star Group Bw. Ibrahim Juma akifafanua jambo kwa wahariri wa vyombo vya habari na waandishi wakati walipoitembelea kampuni hiyo ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo ili kuona tija na changamoto za uwekezaji wa kampuni hiyo hapa nchini, Ziara hiyo iliandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania TIC.
0 comments:
Post a Comment