MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, George Masaju amesema tafsiri ya kisheria kuhusu tamko lililotolewa na polisi la kukataza mikutano ya siasa kwa kile kilichoelezwa hadi amani ya nchi ikitengamaa, ni halali na kwamba sheria imewapa meno ya kufanya hivyo.
Masaju amesema hayo leo katika mkutano wake na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam.
Amesema udikteta kinaousema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) haupo na kwamba kinatakiwa kuheshimu mamlaka yaliyopo na kuacha maandamano yao.
0 comments:
Post a Comment