Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Mstahiki Meya wa Lindi mjini Ndugu Mohamed Liumbwe mara
baada ya kuwasili mkoani Lindi
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akivishwa skafu wakati wa mapokezi na Vijana wa mkoa wa Lindi .(Picha na
Ofisi ya Makamu wa Rais)
Wakina
Mama wa mkoa wa Lindi wakimuimbia nyimbo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania wakati wa mapokezi mkoani hapo.
Wakina
Mama wa mkoa wa Lindi wakimuimbia nyimbo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania wakati wa mapokezi mkoani hapo.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye Ikulu ndogo
mkoani Lindi.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisaini kitabu mara baada ya kuwasili kwene Ikulu ndogo mkoani Lindi
wengine pichani ni Waziri wa Kilimo Maliasili na Uvuvi wa Zanzibar
Mhe.Hamad Rashidi (kulia) na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Mzee Ally
Mtopa.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
amewasili mjini Lindi mchana huu akitokea mkoa wa Dar es Salaam kwa njia
ya barabara ambapo hapo kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika
kilele cha Sikukuu ya Wakulima Nanenane kitaifa kwenye viwanja wa Ngongo
katika Manispaa ya Lindi.
Makamu wa
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufunga maonyesho hayo ya Nane
nane hapo kesho kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dakta John Pombe Magufuli.Alipowasili ikulu ndogo mjini Lindi Makamu wa
Rais Samia Suluhu Hassan amepokelewa na Mkuu wa mkoa wa LINDI Godfrey
Zambi pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali na wa vyama vya siasa.
0 comments:
Post a Comment