Rais
Mstaafu awamu ya nne,Dkt Jakaya Kikwete akiweka saini kitabu cha
maombolezo cha Bi Shakila Said ,huko nyumbani kwake Mbagala
Charambe,jijini Dar,wa pili kushoto akishuhudia ni Waziri wa
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh.Nape Nnauye.
Makamu wa
Rais Mama Samia Suluhu Hassan akiweka saini kitabu cha maombolezo cha
Bi Shakila Mbagala Charambe,jijini Dar,kushoto ni Waziri wa
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh.Nape Nnauye.
Mke wa Rais Mstaafu awamu ya nne,Mama Salma Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo cha Bi Shakila Said ,huko nyumbani kwake Mbagala Charambe,jijini Dar.
CHANZO :MICHUZI BLOG
0 comments:
Post a Comment