Mwandishi
wa Habari za Michezo wa Gazeti la Tanzania Daima, Clezencia Tryphone
akiwa amepozi kwa picha kabla ya kufunga ndoa na Joseph Singano katika
Kanisa la Mt. Nicholaus Parokia ya Kunduchi jijini Dar es Salaam Agosti
13 2016. (Picha na Francis Dande)
Akiwa ndani ya Gari.
Akiwa mepozi kwa picha
Tabasamu.
Akiwa na furaha.
Kuingia Kanisani.
Maharusi wakiingia kanisani.
Ibada ikiendelea.
Joseph Singano akimvisha pete mke wake.(P.T)
Clezencia Tryphone akimvisha pete mume wake.
Clezencia Tryphone akiibusu pete baada ya kumvalisha.
Mwandishi
wa Habari za Michezo wa Gazeti la Tanzania Daima, Clezencia Tryphone
akiwa na furaha baada ya kufunga ndoa na Joseph Singano katika Kanisa la
Mt. Nicholaus Parokia ya Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Joseph akisaini cheti cha ndoa.
Clezencia akisaini cheti cha ndoa.
Wakipokea cheti cha ndoa.
Wakionyesha
Wakitoka kwa furaha.
Pongezi
Wakipita juu ya khanga wakati wakitoka kanisani.
0 comments:
Post a Comment