Katikati
ni Mgeni rasmi mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mh.Mrisho Gambo ambaye
alikuwa akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh.Daudi Ntibenda,
akipongezana na Mkurugenzi wa Masoko BRITAM Kenya huku miale ya baruti
ikihanikiza ishara ya uzinduzi wa shughuli zitakazokuwa zikifanywa na
BRITAM katika jiji la Arusha wakati wa hafla hiyo katika hoteli ya Mount
Meru
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mh.Mrisho Gambo akihutubia wageni katika hafla hiyo
Kulia ni
Mgeni rasmi mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mh.Mrisho Gambo ambaye
alikuwa akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh.Daudi Ntibenda,
akifungua pazia ishara ya uzinduzi wa shughuli zitakazokuwa zikifanywa
na BRITAM katika jiji la Arusha wakati wa hafla hiyo katika hoteli ya
Mount Meru
Mkuu wa
Wilaya ya Arusha Mjini Mh.Mrisho Gambo akipeana mikono na Mwenyekiti wa
Bodi BRITAM Tanzania Bw.Michael Laizer ishara ya pongezi mara baada ya
ufunguzi
Mkurugenzi mtendaji BRITAM Tanzania
Bw.Stephen Lokonyo akitoa historia ya utendaji wa kampuni kuhusu
kampuni yao wakati wa hafla hiyo katika hoteli ya Mount Meru (picha zote
na Dickson Mulashani)
Mkurugenzi BRITAM Kenya Bw.Stephen Wandera akimsikiliza kwa makini mgeni rasmi wakati akihutubia wageni katika hafla hiyo
Habari na Woinde Shizza,Arusha.
Mgeni
rasmi mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mh.Mrisho Gambo ambaye alikuwa
akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh.Daudi Ntibenda, akiefuatilia
shughuli zilizokuwa zikiendelea wakati wa hafla hiyo katika hoteli ya
Mount Meru
Kutoka
kulia ni Afisa Mkuu wa Uendeshaji BRITAM Bw.Sodson Manatsa akiwa na
Meneja Masoko BRITAM Tanzania Bw.Godfrey Mzee wakifuatilia kwa makini
hafla hiyo
Meza Kuu ambapo wageni rasmi waliketi katika hafla hiyo
Meneja BRITAM Tanzania tawi la Arusha Bi. Loisi Yatera akizungumza wakati wa ufunguzi wa hafla hiyo
Kutoka
kushoto ni Mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha Mjini Mh.Felix Mrema,
katikati ni Mkurugenzi wa Masoko BRITAM Kenya na mwisho ni Mkurugenzi
BRITAM Kenya Bw.Stephen Wandera
Meneja
BRITAM Tanzania tawi la Arusha Bi. Loisi Yatera akiwatambulisha baadhi
ya watendaji wa Kampuni hiyo mbele ya wageni waliohudhuria katika hafla
hiyo
Sehemu ya wageni waliohudhuria hafla hiyo katika hoteli ya Mount Meru
Mbunge wa
Arusha Mjini Mh.Godbless Lema pamoja na mke wake wakifuatilia
yaliyokuwa yakijiri katika hafla hiyo ndani ya Hoteli ya Mount Meru
jijini Arusha
Mkurugenzi BRITAM Kenya Bw.Stephen Wandera akimsikiliza kwa makini mgeni rasmi wakati akihutubia wageni katika hafla hiyo
Habari na Woinde Shizza,Arusha.
Kampuni
ya Bima ya Britam imeadhimisha miaka 50 ya kutoa huduma za bima nchini
Tanzania huku ikiongoza katika utoaji wa huduma bora za bima za
magari,nyumba ,mali pamoja na afya.
Sherehe
za Maadhimisho hayo zimefanyika katika Hotel ya Mount Meru iliyoko
jijini Arusha na kuudhuriwa na Viongozi wa kiserikali pamoja na Wadau wa
Bima.
Afisa
Mkuu wa Kampuni hiyo nchini Tanzania Stephen Lokonyo amesema kuwa
kampuni hiyo imejipanga vizuri kuwahudumia watanzania na kuwafikia watu
wengi zaidi ili waweze kunufaika na huduma za bima .
Aliongeza
kuwa wao kama kampuni ya bima ya Britam wamejipanga kuwasaidia wananchi
mbalimbali wakiwemo wa juu pamoja na wachini kwakuanzisha bima za aina
mbalimbali ikiwemo ya mali zao kama nyumba ,bima za afya pamoja bima ya
kilimo kwa ajili ya wakulima pamoja na wafugaji.
Mkuu
wa Wilaya ya Arusha Mrisho Gambo aliwataka mashirika ya bima
kuwafikiria pia madereva bodaboda kwa kuwaanzishia bima za afya pamoja
na bima za vyombo vyao ili pale wanapopata matatizo kama ya kuunguliwa
na piki piki zao pamoja na kupata ajali waweze kusaidika kwa
uraisi matibabu na kufidiwa pindi wanapopata ajali.
Alisema
kuwa kumekuwa na pikipiki nyingi sana hivyo iwapo wataanzisha bima kwa
ajili ya pikipiki wataweza kuwasaidia sana vijana pia wataweza kupata
wateja wengi waotumia vyombo hivi.
Aidha
mkuu huyo wa wilaya alihiasa kampuni ya bima ya Britam pamoja na
kampuni zingine za bima kujikita zaidi kwa watu wenye kipato cha chini
0 comments:
Post a Comment