Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akikagua baadhi ya vitanda na vifaa mbalimbali vya
hospitali vyenye thamani ya sh. bilioni 10 vilivyotolewa na kampuni za
vinywaji baidi za Coca cola- Kwanza, Azam Cola na Pepsi Cola- SBC
katika makabidhino yaliyofanyika kwenye maghala ya MSD yaliyopo Mabibo
jijini Dar es salaam Februari 25, 2016. Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa
Wizara ya Afya, Dkt. Ulisubisya Mpoki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akikagua baadhi ya vitanda na vifaa mbalimbali vya
hospitali vyenye thamani ya sh. bilioni 10 vilivyotolewa na kampuni za
vinywaji baidi za Coca cola- Kwanza, Azam Cola na Pepsi Cola-SBC
katika makabidhino yaliyofanyika kwenye maghala ya MSD yaliyopo Mabibo
jijini Dar es salaam Februari 25, 2016. Kushoto ni Katibu Mkuu wa

Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea moja ya vifaa vya hospitali kutoka kwa
wawailishi wa makampini ya Vinywaji baridi ya Coca Cola- Kwanza, Azam
Cola na Pepsi Cola-SBC katika makabidhino yaliyofanyika kwenye maghala
ya MSD yaliyopo Mabibo jijini Dar es salaam Februari 25, 2016. Kushoto
Mkurugenzi wa Pepsi, Avinash Jha,Wapili kushoto ni Reginald Mengi
ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa IPP na Wapili kulia ni Basil
Gadzios wa Coca cola Kwanza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment