Na Denis Mkakala
Msanii wa kizazi kipya mkoani Iiringa amuimbia Mbunge wa
jimbo la Ismani Mh,Wiliamu Lukuvi lengo likiwa kuthamini mambo aliyoyafanya
toka alipoanza kuliongoza jimbo hilo hadi sasa kupata lidhaa ya kuongeza miaka
mingine 5 kuwa ameliongoza jimbo hilo kwa zaidi ya miaka 20.
Kikubwa alichopongezwa mbunge huyo kwa kuthamini kinamama na
watoto kwa kujenga zahanati kila Kijiji kilichopo katika jimbo hilo na kujenga
shule kwa kila kijiji nakuondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kutafuta
elimu, Kuunganisha barabara zinazokutanisha vijiji na kupunguza tatizo la maji
kwa kiasi kikubwa na ungwe hii ikitalajiwa kumaliza kabisa.
Na mwisho msanii huyo akitoa pongezi na wito kwa wananchi
hao kwakuthamini msaada unaotolewa na mbunge huyo na kumpalidhaa hiyo wito wake
amesema wananchi wa ismani wanapaswa kutambua wapi paliposalia nakutambua kuwa
ungwe hii ya kumaliza masalia nasio kumpa mtu atakayeanza na moja.
0 comments:
Post a Comment