wagombea 12 wakiwa katika viti wakisubiri kuitwa mmoja mmoja ili kunadi sera zao kwa wajumbe wa ccm ngazi ya jimbo. |
clala Mpambe wa Jesca Msambatavangu akiwa anazungumza na vyombo vya habari mara baada ya kupewa tuhuma za kuwapa madela akina mama na dada. |
Na Denis Mkakala, Iringa
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mkoa wa iringa ambaye ni mgombea wa
ubunge kupitia chama cha mapinduzi
manispaa ya iringa ,hii leo amekumbwa na kashifa ya kutoa rushwa kwa wanachama
wa chama hicho katika baadhi ya mikutano ambapo rushwa hizo zikiwa za Pesa
tasirimu,madela aina ya magauni yenye nembo za bendera ya chama hicho pamoja na
kuwanunulia pombe za kienyeji sawia na kuwashawishi wajumbe hao kutawanyika
mara baada ya yeye kuzungumza.
Malalamiko hayo yakitolewa na wagombea kumi na mmoja ambao walikutana na
waandishi wa habari na kueleza kuwa chama hicho kitakosa mgombea mwenyesifa wa
kuwezakumuondoa mbunmge wa upinzani aliyeopo kwasasa kutokana na kiongozi huyo
kufanya rafu ambayo inaweza kupelekea chama hicho kugawanyika katika hatua ya
kuomba ridhaa kwa wajumbe wa chama hicho katika ngazi ya jimbo kabla ya kwenda
kukatwa ngazi ya Taifa.
Kwaupande wake mtuhumiwa wa kashifa hiyo Jesca Msambatavangu amekanusha
tuhuma hizo nakusema wagombea wenzie hao 11 kati ya wagombea 13 wote wamepanga
njama hiyo ilikumuondoa kwakuwa dhali mapema upepo umeonyesha kuwa yeyendiye
mshindi katika kura za maoni ambazo zinztarajiwa kupigwa tarehe 01 mwezi ujao.
0 comments:
Post a Comment