TIMU ya
Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanza vibaya mechi za Kundi G za kufuzu
Fainali za Mataifa ya Afrika 2017 baada ya kufungwa mabao 3-0 na Misri
usiku wa kuamkia leo mjini Alexandria.
Mabao
yote ya Misri yamefungwa kipindi cha pili, wafungaji wakiwa Rami Rabia
dakika ya 61, Basem Morsi dakika ya 65 na Mohamed Salah dakika ya 70
Monday, June 15, 2015
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Nimebahatika kupata fursa kadhaa kukaa na kuzungumza na Mheshimiwa Rais Mstaafu Hayati Benjamin William Mkapa enzi za uhai wake....
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya kilim...
-
Na Mwandishi Wetu, Arusha Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA), Eng. Innocent Masaka, amesema wakala huo umejipanga kubore...
-
YANGA jana imerejesha furaha kwa mashabiki wake baada ya kushinda mabao 3-0 dhidi ya Majimaji katika mechi ya Ligi Kuu iliyochezwa kwenye...
-
Visiwani Zanzibar zoezi la uandikishaji wapiga kura katika daftari jipya la kudumu leo limeingia mjini Magharibi lakini kama ilivyo...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment