METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, June 23, 2015

NYALANDU APATA WADHAMINI MKOANI KILIMANJARO


Nyalandu akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake mjini Kilimanjaro



Waziri wa Maliasili na Utalii ,Lazaro Nyalandu akizungumza na wananchi hao ambao wengi wao ni viajana waliofika kwa ajili ya kumdhamini.


Katibu wa Jumuiya ya vijana wa Chama cha Mapinduzi,UVCCM wilaya ya Moshi mjini ,Joel Makwaia akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu alipowasili ofisi za CCM mkoa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kutafuta wadhamini .

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com