METDO Tanzania

METDO Tanzania

Thursday, May 29, 2025

Dondoo za Aliyoyasema Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde katika Mkutano na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Mei 24, 2025 Jijini Dar es Salaam.

 Mada: Mafanikio ya Sekta ya Madini katika Kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan1. Ongezeko la Bajeti – Bajeti ya Wizara ya Madini imekuwa ikiongezeka mwaka hadi mwaka. Kutoka shilingi bilioni 89 mwaka wa fedha 2023/2024 hadi shilingi bilioni 231 kwa mwaka 2024/2025....
Share:

Tuesday, May 20, 2025

DC WILAYA YA ARUSHA AWATAKA WAFANYABIASHARA KUSHIRIKIANA NA TRA KATIKA MASUALA YA KODI.

WAZOHURU ARUSHA:Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Joseph Modestus Mkude amewataka wafanyabiashara Wilayani hapo kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania ikiwemo kulipa kodi zao stahiki kwa hiari na kwa wakati.Mkuu wa Wilaya hiyo ameyasema hayo tarehe 19 Mei, 2025 wakati alipokutana na Maafisa wa Mamlaka...
Share:

Tuesday, February 18, 2025

REA YAENDELEA KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI 16,275 MKOANI SIMIYU

WazoHuru - SimiyuMkuu wa mkoa wa Simiyu, Mhe. Kenani Kihongosi, leo tarehe 18 Februari, 2025 amezindua rasmi zoezi la usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo 6 katika mkoa wa Simiyu na kutoa wito kwa Wananchi kuchangamkia fursa ya matumizi ya nishati safi kama njia mbadala ya kupunguza...
Share:

Saturday, November 30, 2024

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Aahidi Kutatua Changamoto za Tanganyika Farmers Association (TFA) ili Kuongeza Faida kwa Wakulima

Leo, Novemba 30, 2024, Arusha ilikua jiji lenye hafla muhimu kwa wakulima wa Mkoa wa Arusha na maeneo mengine ya Tanzania. Ambapo mkutano mkuu wa wanahisa wa Tanganyika Farmers Association (TFA) ulifanyika katika viwanja vya Shopping Mall, ambapo Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Ndug. Gerald Mweli,...
Share:

Tuesday, October 22, 2024

GEITA YAUPOKEA MRADI WA BILIONI 17 KWA AJILI YA KUSAMBAZA UMEME KWENYE VITONGOJI 105

Mkuu wa mkoa wa Geita, Mhe. Martine Shigela akiongea na Wanahabari mara baada ya kumpokea rasmi mkandarasi, kampuni ya CCC (Beijing) Industrial & Commercial Ltd; kutoka ChinaMkuu wa mkoa wa Geita, Mhe. Martine Shigela, leo jioni, tarehe 22 Oktoba, 2024 akiongea na Wanahabari mara baada ya kumpokea...
Share:

Sunday, October 13, 2024

Monday, September 23, 2024

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo azungumzia Changamoto ya Rumbesa kwenye Zao la Vitunguu

 WazoHuru Media - ArushaKatibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli, amesema kwamba Wizara itachunguza na kuondoa changamoto ya rumbesa katika zao la vitunguu ili kuwasaidia Wakulima kuepuka kuuza mazao yao bila kipimo cha uhakika. Kauli hiyo aliitoa Septemba 23, 2024, alipotembelea mashamba...
Share:
Copyright © 2025 WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com