Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn ambaye pia ni Mwenyekiti wa Africa’s Food Systems Forum (AGRF) mara baada ya mazungumzo yao Dakar, Senegal tarehe 26 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo Dakar nchini Senegal tarehe 26 Januari, 2023. wengine katika Picha ni Waziri wa Kilimo Hussein Bashe pamoja na Viongozi wengine kutoka Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Marais wa nchi mbalimbali za Afrika wakati akizungumza kwenye Mkutano wa Kilimo na Chakula kwa Bara la Afrika uliofanyika Dakar nchini Senegal.
0 comments:
Post a Comment