METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, June 28, 2022

VIONGOZI WA WIZARA WAKIWA BET AWARDS

       

PICHA mbalimbali  kutoka jijini Los Angeles nchini Marekani wakati Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa alipo udhuria tamasha la utoaji tuzo za BET kwa mwaka 2022, lililofanyika usiku wa kuamkia June 27 katika ukumbi wa burudani (arena) wa Microsoft theater.
Katika ziara hiyo Waziri Mchenegerwa ameambatana na Katibu Mkuu Dkt. Hassan Abbasi pamoja na Mkurugenzi wa Sanaa dkt. Emmanuel Ishengoma katika kutafuta ujuzi wa namna ya kuandaa tuzo kwa kiwango cha kimataifa, lengo likiwa ni kuunga mkono juhudu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika kuitangaza Tanzania wakati ambapo Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa tuzo za MAMA – MTV African Music Awards 2023.
Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2025 WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com