Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwendesha Mashataka
Mkuu wa Serikali (DPP) Bw.Biswalo Mganga baada ya kupiga naye picha ya
pamoja na ujumbe wake mara baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa
ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari
kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es salaam leo Jumatatu Septemba 30, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwendesha Mashataka Mkuu wa
Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga katika picha ya pamoja na ujumbe wake
mara baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa
kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha
fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
leo Jumatatu Septemba 30,2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na na Mwendesha
Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw.Biswalo Mganga baada ya kupokea
taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa
uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye
hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Septemba
30, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwendesha Mashataka
Mkuu wa Serikali (DPP) Bw.Biswalo Mganga baada ya kupokea taarifa ya
utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu
uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Septemba 30, 2019.
Kushoto ni Katibu Mkuu Ikulu Mhe. Dkt. Moses Kusiluka
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiongea baada ya Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali
(DPP) Bw. Biswalo Mganga kumkabidhi taarifa ya utekelezaji wa ushauri
alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu
na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini
Dar es salaam leo Jumatatu Septemba 30, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akipokea toka kwa Mwendesha Mashataka Mkuu wa
Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga taarifa ya utekelezaji wa ushauri
alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu
na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini
Dar es salaam leo Jumatatu Septemba 30, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimsikiliza Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP)
Bw.Biswalo Mganga akitoa muhtasari kabla ya kukabidhi taarifa ya
utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa
uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye
hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Septemba
30,2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akipokea toka kwa Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP)
Bw. Biswalo Mganga taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa
kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha
fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
leo Jumatatu Septemba 30, 2019
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment