METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, April 6, 2022

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA MFUMO WA USAFIRISHAJI WA DHARURA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO WACHANGA M-MAMA JIJINI DODOMA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma kabla ya kuzindua Mfumo wa usafirishaji wa dharura kwa Wajawazito na Watoto wachanga M-MAMA katika hafla iliyofanyika Viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma 

 

Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma wakiwa katika viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma kuhudhuria hafla ya uzinduzi wa Mfumo wa usafirishaji wa dharura kwa Wajawazito na Watoto wachanga M-MAMA uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkurugenzi wa M-MAMA Bi. Dolorosa Duncan kuhusu Mfumo wa usafirishaji wa dharura kwa Wajawazito na Watoto wachanga M-MAMA kabla ya kuuzindua katika hafla iliyofanyika Viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akibonyeza Kitufe kuzindua Mfumo wa usafirishaji wa dharura kwa Wajawazito na Watoto wachanga M-MAMA katika hafla iliyofanyika Viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimpongeza Msanii Christian Bella kwenye uzinduzi wa Mfumo wa usafirishaji wa dharura kwa Wajawazito na Watoto wachanga M-MAMA katika hafla iliyofanyika Viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com