METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, April 12, 2022

KINANA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MABALOZI WA MSUMBIJI NA RWANDA NCHINI TANZANIA

 

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Balozi wa  Msumbiji Nchini Tanzania Mheshimiwa Ricardo Mtumbuida leo  Aprili 12 2022 ,katika Ofisi Ndogo za CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam. 

 

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania Mheshimiwa Ricardo Mtumbuida (kushoto) leo  Aprili 12 2022, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.

 

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimsindikiza /akiagana na Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania Mheshimiwa Ricardo Mtumbuida (kushoto) leo Aprili 12 2022, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.

 

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Balozi wa  Rwanda Nchini Tanzania Mej. Jen. Charles Kalamba, leo  Aprili 12 2022 ,katika Ofisi Ndogo za CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam. 

    

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mej. Jen. Charles Kalamba, (kushoto) leo  Aprili 12 2022, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam. 

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mej. Jen. Charles Kalamba, (kushoto) leo Aprili 12 2022, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam. (Picha  Zote na Fahad Siraji)

Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2025 WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com