MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwahutubia Wajasiriamali Wanawake wa vikundi mbalimbali na Wanachama wa UWT Wilaya ya Mjini Unguja katika hafla ya Maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) yaliofanyika katika viwanja vya Chuo cha Amali Miembeni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wanachama wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani) wakati akiwahutubia katika Maadhimisho ya Wiki ya UWT, yaliofanyika katika viwanja vya Chuo cha Amali Miembeni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi Cheti Mwanafunzi wa Chuo cha Amali cha UWT Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Ndg. Soud Haji Juma, baada ya maliza mafunzo yake ua Ushoni katika Chuo hicho, wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya UWT, yaliofanyika katika viwanja vya chuo hicho.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi Cheti Muhitimu wa Chuo cha Amali cha UWT Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Bi.Dalila Hamad Juma, baada ya kumaliza Mafunzo ya Udereva katika chuo hicho, ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya UWT, yaliofanyika katika viwanja vya Chuo hicho.(Picha na Ikulu)
0 comments:
Post a Comment