Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Tanzania Red Cross Society ambao walikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma kutoa taarifa mbalimbali wanazozifanya nchini, Septemba 14, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Rais wa Tanzania Red Cross Society, Mhe. David Kihenzile Tuzo ya Red Cross Society baada ya mazungumzo yake na viongozi wa Chama hicho ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, September 14, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Tanzania Red Cross Society baada ya kuzungumza nao ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, Septemba 14, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment