Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ujumbe maalum kutoka kwa Rais Salva Kiir wa Sudani Kusini uliowasilishwa na Mjumbe maalum Balozi Albino Ayuel Aboug Ikulu Jijini Dar es salaam leo Septemba 15,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mjumbe maalum kutoka kutoka kwa Rais Salva Kiir wa Sudani Kusini Balozi Albino Ayuel Aboug, aliyewasilisha Ujumbe maalum kutoka kwa Rais Salva Kiir, Ikulu Jijini Dar es salaam leo Septemba 15,2021.
0 comments:
Post a Comment