METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, June 18, 2021

RAIS MHE. SAMIA SULUHU AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA MAKAMPUNI YA WILMAR INTERNATIONAL YA SINGAPORE KUOK KHOON HONG, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Makampuni ya Wilmar International ya Singapore Kuok Khoon Hong mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 18 Juni, 2021.

Mwenyekiti wa Makampuni ya Wilmar International ya Singapore Kuok Khoon Hong akizungumza na Wanahabari Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 18 Juni, 2021.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com