Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akizungumza na Wakandarasi kutoka Kampuni 34 ambao wanatekeleza Mradi wa usambazaji umeme Vijijini wa Awamu ya Tatu, mzunguko wa Pili (hawapo pichani) kilichofanyika leo Mei 25,2021 jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato akizungumza wakati wa kikao na Wakandarasi kutoka Kampuni 34 ambao wanatekeleza Mradi wa usambazaji umeme Vijijini wa Awamu ya Tatu, mzunguko wa Pili (hawapo pichani) kilichofanyika leo Mei 25,2021 jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini REA, Mhandisi Amos Maganga,wakati wa kikao cha Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani na Wakandarasi kutoka Kampuni 34 ambao wanatekeleza Mradi wa usambazaji umeme Vijijini wa Awamu ya Tatu, mzunguko wa Pili (hawapo pichani) kilichofanyika leo Mei 25,2021 jijini Dodoma.
Baadhi ya Wasimamizi wa Miradi ya usambazaji umeme vijijini kutoka Wizara ya Nishati, watendaji wa REA, TANESCO na wakandarasi wa mradi wa usambazaji umeme vijijini wa Awamu ya Tatu mzunguko wa Pili wakimsikiliza Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani (hayupo pichani) kilichofanyika leo Mei 25,2021 jijini Dodoma.wa mwisho kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Jones Olotu.
Baadhi ya Mameneja wa TANESCO kutoka sehemu mbalimbali nchini pamoja na Wakandarasi wa mradi wa usambazaji umeme vijijini wa Awamu ya Tatu, mzunguko wa Pili wakimsikiliza Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani (hayupo pichani) wakati alipofanya kikao na wakandarasi hao jijini Dodoma.
0 comments:
Post a Comment