METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, January 22, 2020

UPANUZI WA BARABARA YA MOROCCO,MWENGE


 Upanuzi wa Barabara ya Morocco – Mwenge
ukiendelea kwa kasi katika eneo la Sayansi na Bamaga pamoja na
Barabara ya Shekilango-Bamaga inayojengwa pia kwa njia nne kama
inavyoonekana pichani.

 Sehemu ya Barabara ya Morocco-Mwenge katika eneo la
Fao kabla ya ujenzi wa njia hizo nne mpya.
Sehemu ya Mitaa ya Mwananyamala Bwawani ambayo
barabara zake zimejengwa kwa Zege na kuondoa kero ya miaka mingi ya
barabara hizo za mitaa. PICHA NA IKULU
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com