Maendeleo ya Ujenzi wa Barabara za Juu katika Makutano ya
Ubungo (Ubungo Interchange). Mradi huo wa Ujenzi katika Makutano
ya Barabara za Mandela, Morogoro na Sam Nujoma (Ubungo
Interchange) unaendelea kwa kasi kubwa na umefikia asilimia 65 kwa
mradi mzima na sehemu ya gorofa ya pili ambayo itapitisha magari
yanayotumia barabara ya Morogoro imefikia asilimia 75.
Mradi huo unatarajiwa kuondoa adha ya msongamano mkubwa katika
makutano ya barabara hizo pindi utakapokamilika.
0 comments:
Post a Comment