Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika James Duddridge mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika James Duddridge mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika James Duddridge mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Mei, 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika James Duddridge mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika James Duddridge Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mfuko wa Idadi ya Watu (UNFPA) Dkt. Natalia Kanem mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mfuko wa Idadi ya Watu (UNFPA) Dkt. Natalia Kanem aliyefika Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mfuko wa Idadi ya Watu (UNFPA) Dkt. Natalia Kanem mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Mei, 2021. PICHA NA IKULU.
0 comments:
Post a Comment