Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Timu ya Majadiliano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Uganda na Kampuni za Uwekezaji katika mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga. Mhe. Rais Samia amekutana na Timu hii Ikulu jijini Dodoma.
0 comments:
Post a Comment