Moto umeunguza maduka zaidi ya 10 na kuteketeza baadhi ya vitu ni katika majengo yanayomilikiwa na familia ya Nekemia Kazimoto (Kazikomu) yaliyopo Mji wa kayanga mjini, Karagwe, Kagera mkabara na majengo ya city center na Magereza ya kayanga, moto umeibuka saa 5 na dakika 20 usiku katika moja ya duka la nguo na kusambaa katika maduka mengine ya bidhaa za vyakula, hoteli, stoo za vifaa vya ujenzi, salooni na maduka ya bidhaa mchanganyiko. moto umedumu zaidi masaa manne na chanzo cha moto hakijafahamika mpaka sasa. 26 Disemba 2020. Picha na Eliud Rwechungura.
Sunday, December 27, 2020
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Mbunge wa Jimbo la Vwawa (CCM) na Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi...
-
Mhe Japhet Hasunga (Mb) Waziri wa Kilimo, akikagua ujenzi vihenge vya kisasa (Silos) na maghala ya kuhifadhia nafaka kabla ya kuzungumza ...
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya kilim...
-
Meneja Mwandamizi wa Mipango Mikakati wa Tanesco, Eng. Costa Rubagumya akitiliana saini mkataba na Mkurugenzi wa Kampuni ya Kampuni ya Lung...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment