METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, December 22, 2020

BODI YA MIKOPO YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA MWAKA WA TAHOSA JIJINI DODOMA

Meneja Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Kanda ya Dodoma, Octavia Seleman (katikati) akitoa msaada kwa mmoja wa wateja waliotembelea katika Banda la HESLB leo Jumanne (Desemba 21, 2020) katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Chama cha Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari (TAHOSSA) unaoendelea Jijini Dodoma. Kulia ni Afisa Mikopo wa HESLB, Sophia Kangele.

Maafisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi ya Elimu ya Juu (HESLB) Jonathan Manhe (kushoto) na Sophia Kangele wakihudumia wateja mbalimbali waliotembelea Banda la HESLB leo Jumanne Desemba 22, 2020 katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Umoja wa Chama cha Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari (TAHOSSA) unaoendelea Jijini Dodoma.

Maafisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi ya Elimu ya Juu (HESLB) Jonathan Manhe (kushoto) na Sophia Kangele wakihudumia wateja mbalimbali waliotembelea Banda la HESLB jana leo Jumanne (Desemba 22, 2020) katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Umoja wa Chama cha Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari (TAHOSSA) unaoendelea Jijini Dodoma.

Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Jonathan Manhe akitoa ufafanuzi kwa wateja mbalimbali waliotembelea Banda la HESLB leo Jumanne (Desemba 22, 2020) katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Umoja wa Chama cha Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari (TAHOSSA) unaoendelea Jijini Dodoma.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com