
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mwanasheria Mkuu wa
Serikali Profesa Adelardus Lubango Kilangi alipokuwa akila Kiapo cha Uadilifu
kwa Viongozi wa Umma katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja wa Ikulu
Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
viongozi mbalimbali katika Ikulu ya Chamwino mara baada ya kumuapisha
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Profesa Adelardus Lubango Kilangi leo tarehe 09
Novemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Makamu wa
Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya hafla fupi ya Uapisho wa Mwanasheria
Mkuu wa Serikali Profesa Adelardus Lubango Kilangi leo tarehe 09 Novemba
2020 katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Profesa Adelardus Lubango Kilangi muda mfupi baada
ya kumuapisha leo tarehe 09 Novemba 2020 katika Ikulu ya Chamwino mkoani
Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia
Suluhu Hassan katika picha ya pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Profesa
Adelardus Lubango Kilangi muda mfupi baada ya kumuapisha leo tarehe 09
Novemba 2020 katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
0 comments:
Post a Comment