METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, October 20, 2020

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli awahutubia Wananchi wa Same mkoani Kilimanjaro

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Same mjini mkoani Kilimanjaro katika Mkutano wa Kampeni za CCM leo tarehe 20 Oktoba 2020.

Wananchi wa Same wakimsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia Same mjini leo tarehe 20 Oktoba 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Same mjini leo tarehe 20 Oktoba 2020.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com